Skip to main content
Skip to main content

Serikali jumuishi yapuuza madai ya Gachagua kuhusu zabuni ya IEBC

  • | Citizen TV
    2,635 views
    Duration: 2:37
    Viongozi wa serikali jumuishi wamepuuzilia mbali madai ya kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, kuhusu njama ya wizi wa kura kupitia zabuni ya teknolojia ya uchaguzi, wakimtaka aheshimu Tume ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na kuiachia uhuru wa kutekeleza majukumu yake. Kama anavyoarifu Chrispine Otieno, viongozi hao wamewataka wapinzani wao kujiandaa kwa kivumbi cha mwaka ujao badala ya kuhitilafiana na zabuni za IEBC.