- 740 viewsDuration: 49sSerikali imetangaza kuagiza magunia milioni 25 ya mahindi ya kilo 90 ili kukabiliana na upungufu wa chakula unaoweza kusababishwa na ukame na changamoto nyingine zinazohusiana na mabadiliko ya tabianchi . waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesema kuwa serikali tayari imeweka mipango ya kuwezesha uagizaji huo, akiwahakikishia wakenya kwamba hatua kabambe zimechukuliwa ili kusiwepo na uhaba wa chakula.