9 Sep 2026 1:16 pm | Citizen TV 337 views Duration: 1:00 Serikali inapanga kuzindua mpango mpya wa kubuni ajira nchini. Naibu Rais Kithure Kindiki amesema serikali itatoa msukumo kwa biashara ndogo na za wastani.