- 410 viewsDuration: 2:57Serikali kuu imezitaka kaunti kutenga fedha zaidi kwa miradi ya kawi safi. Kaunti za Makueni, Kilifi na Nakuru tayari zinatekeleza sera za kawi, huku wawakilishi wa kaunti wakijadili suala hilo katika kongamano mjini Makueni.