Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Embu yaanza mchakato wa kuipa hadhi ya manispaa miji mitatu mipya

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 1:14
    Serikali ya Kaunti ya Embu yaanza mchakato wa kuipa hadhi ya manispaa miji mitatu mipya, katika hatua ilengayo kusogeza huduma karibu na wananchi, kuboresha upangaji wa miji na kuvutia wawekezaji.