Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Isiolo yaimarisha juhudi za kuzuia kuenea kwa Ebola

  • | Citizen TV
    944 views
    Duration: 3:31
    Kaunti ya Isiolo inasema inaongeza juhudi za kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, kufuatia ripoti za visa vinane nchini kufikia Jumapili. Hata hivyo, wasiwasi kuhusu usalama wa wahudumu wa afya unaendelea kuibuliwa, huku wazazi wakihimizwa kufuatilia kwa karibu mienendo ya watoto wao wakati wa likizo ndefu ya shule.