28 Aug 2026 10:14 am | Citizen TV 327 views Duration: 1:20 Serikali ya Kaunti ya Kericho yatangaza mipango ya kuwaajiri wauguzi 150 kwa muda, ili kusaidia kurejesha huduma za afya katika hospitali za umma huku mgomo wa wauguzi ukiendelea.