27 Aug 2026 1:40 pm | Citizen TV 418 views Duration: 1:48 Serikali ya kaunti ya Migori imezindua mpango wa usambazaji wa mbegu unaolenga wakulima 5,000 kote kaunti hiyo kama sehemu ya juhudi za kuwalinda kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.