Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Mombasa yaanzisha matibabu ya bure kumuenzi Raila Odinga

  • | Citizen TV
    2,417 views
    Duration: 2:10
    Serikali ya kaunti ya Mombasa imeanzisha mpango wa matibabu ya bure kwa kipindi cha mwezi mmoja ili kumkumbuka hayati Raila Odinga na mchango wake katika ugatuzi.