- 1,586 viewsDuration: 7:15Serikali ya kaunti ya Mombasa yazindua mpango unaolenga kuwapiga jeki vijana 50,000 kiuchumi. Mpango huo uitwao "skills mtaani" washirikisha taasisi za ufundi jijini humo, zitakazotoa mafunzo kwa vijana kabla ya kupokea ufadhili wa mtaji wa kibiashara.