2 Dec 2025 10:58 am | Citizen TV 302 views Duration: 2:05 Serikali ya kaunti ya Nandi imewahimiza kina mama wajawazito wawe wakienda hospitalini kufanyiwa vipimo mapema, kama njia moja ya kuwalinda watoto wachanga dhidi ya virus vya ukimwi.