2,115 views
Duration: 1:39
Serikali ya Kenya Kwanza imeanzisha mchakato mpya wa kurejesha imani yake kwa wakenya, kupitia misururu ya mikutano ambapo wananchi wanapewa nafasi ya kutoa malalamiko yao kuhusu mambo wanayohisi hayaendi kama yalivyoahidiwa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya