Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kenya yaidhinisha matuizi ya chanjo ya kuzuia maambukizi ya HIV

  • | Citizen TV
    6,321 views
    Duration: 2:13
    Kenya imepiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya HIV ambavyo husababisha UKIMWI. Wizara ya afya imependekeza kusajiliwa kwa dawa mpya ya kinga dhidi ukimwi inayodumu kwa muda mrefu, inayojulikana kama lenacapavir. Dawa hii inaleta matumaini mapya kwa maelfu ya wakenya walio katika hatari ya kuambukizwa.