Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Nandi yazindua mpango wa kuwapa wanafunzi maziwa

  • | Citizen TV
    354 views
    Duration: 1:15
    Serikali ya Kaunti ya Nandi imezindua mpango wa utoaji wa maziwa kwa wanafunzi wa chekechea , unaolenga kuboresha lishe na afya ya watoto huku ukiwawezesha kujifunza katika mazingira bora.