Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaanza kukarabati bomba la maji huko Nolturesh Kajiado

  • | Citizen TV
    309 views
    Duration: 2:00
    Serikali yaanza mipango ya kuboresha bomba la Nolturesh lisambazalo maji katika kaunti za Kajiado, Makueni na Machakos, huku uharibifu wa muundomsingi ukitajwa kuwa chanzo cha uhaba wa maji katika maeneo hayo.