23 Sep 2026 1:54 pm | Citizen TV 751 views Duration: 1:43 Kufungwa kwa vichinjio vinne vya punda katika Kaunti ya Kitui kumewapa wafugaji katika eneo la Mashariki matumaini mapya baada ya miaka ya hasara iliyotokana na wizi wa punda na biashara haramu ya wanyama hao.