- 529 viewsDuration: 1:28Serikali imewahimiza wataalamu katika sekta ya barabara na ujenzi nchini kuachana na mbinu za jadi na badala yake kuimarisha utafiti kupitia mifumo mipya ili kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi