8 Jan 2026 7:18 pm | Citizen TV 1,591 views Duration: 1:38 Serikali sasa inatakiwa kufanya hima kuchunguza na kuwachukulia hatua waliohusika na utepetevu uliosababisha kuanguka kwa jumba la ghorofa 16 lililowaua watu wawili katika eneo la South C, Nairobi