21 Sep 2026 10:36 am | Citizen TV 407 views Duration: 2:16 Wito umetolewa kwa serikali kuongeza mgao wa fedha kwa taasisi zinazotoa elimu maalum, ili kuziwezesha kupata vifaa vya kutosha kwa wanafunzi wenye ulemavu.