- 1,132 viewsDuration: 1:03Waziri wa Kawi na petroli Opiyo Wandayi sasa anasema kuwa serikali itapunguza bei ya Diseli katika taarifa ijayo ya halmashauri ya kudhibiti bei za petroli EPRA inayotarajiwa jumapili. Waziri Wandayi akisema kuwa kupunguzwa kwa bei ya diseli kutawapa afueni kubwa wafanyabiashara haswa wa sekta ya matatu na viwanda. Alizungumza alipofanya kikao na washikadau wa sekta ya viwanda hii leo ambapo bia alitangaza kushushwa kwa bei ya umeme