- 497 viewsDuration: 3:29Serikali kupitia shirika la TANATHI imetenga shilingi milioni 281.2 kwa miradi 17 ya maji katika kaunti ya Makueni,kitui,Machakos na Kajiado miradi inayotarajiwa kukamilika kabla ya mvua ya el nino kuanza ili kusaidia kuhifadhi maji kwa wakaazi wa maeneo hayo kwa siku zijazo.