20 Aug 2026 1:06 pm | Citizen TV 143 views Duration: 1:58 Serikali yapunguza mzigo wa wagonjwa walazimikao kusafiri masafa marefu kutafuta huduma za afya, baada ya kuzindua vifaa tamba vya uchunguzi wa kimatibabu.