Skip to main content
Skip to main content

Serikali yawarai wakenya kukumbatia kilimo cha umwagiliaji kudhibiti ukame

  • | NTV Video
    194 views
    Duration: 5:15
    Kadri ukame unavyozidi kuongezeka na uagizaji wa chakula kutoka nje kupanda, serikali inaelekeza nguvu zake kwenye kilimo cha umwagiliaji wa kiwango kikubwa kama suluhisho la muda mrefu.