10 Jul 2026 12:24 pm | Citizen TV 1,133 views Duration: 2:01 serikali yazindua awamu ya pili ya miradi ya nyota ambapo vijana wapewa pesa za mtaji wa kuanzisha biashara katika maeneo mbalimbali nchini. shilingi bilioni 3 zimetolewa kwa wanufaishwa 122,000 leo.