11 Sep 2026 1:09 pm | Citizen TV 1,628 views Duration: 4:10 Wizara ya Usalama imezindua kampeni ya kukabiliana na fujo za kisiasa. Vijana wametakiwa kujiepusha na uhuni na vurugu wakati wa mikutano ya kisiasa.