Skip to main content
Skip to main content

Serikali yazindua mradi wa sh2.7 bilioni wa kusambaza umeme Makueni

  • | Citizen TV
    435 views
    Duration: 2:40
    Serikali imetenga shilingi bilioni 2.7 za kusambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Makueni. serikali inalenga kufikia familia zaidi ya elfu 23 kwa mradi huo.