- 1,031 viewsDuration: 3:48Wizara ya Afya imeonya hospitali za umma zinazoshindwa kutoa dawa kwa wagonjwa wanaotafuta matibabu kupitia bima ya afya ya SHA. Afisa Mkuu Mtendaji wa SHA Daktari Mercy Mwangangi amesema hospitali zitakazopatikana na hatia ya kuwaagiza wagonjwa kujinunulia dawa katika maduka ya kibinafsi zitachukuliwa hatua