- 1,160 viewsDuration: 2:44Wakenya walifurika katika maeneo mbalimbali ya burudani kusherehekea sikukuu ya krismasi. Aidha baadhi watumia siku hii kujumuika na waliotengwa, mayatiba, mahabusu, familia za mitaani na wasiojiweza na kueneza ukarimu wa krismasi. Seth olale anaangazia mbwembwe na sherehe za krismasi.