Skip to main content
Skip to main content

Shangwe Kajiado baada ya msichana wa kwanza kijijini kufuzu shahada ya takwimu

  • | Citizen TV
    2,169 views
    Duration: 3:46
    Shangwe na nderemo zilitawala katika kijiji cha Elang'ata Enkima huko Kajiado Kusini baada ya wanakijiji kujumuika kusherehekea ufanisi wa msichana ambaye licha ya kusomea kwenye mazingira magumu ikiwemo tishio la kuozwa katika umri mdogo, aliandikisha historia na kuwa msichana wa kwanza kufuzu na Shahada ya sayansi ya takwimu.