Skip to main content
Skip to main content

Sherehe za Chenda Chenda zitafanyika Septemba 9 katika Kaya Kauma, Kilifi.

  • | Citizen TV
    735 views
    Duration: 2:22
    Sherehe za Chenda Chenda zitafanyika Septemba 9 katika Kaya Kauma, Kilifi. Wazee wa kaya wamewaonya wanasiasa dhidi ya kuingilia sherehe hizo zinazolenga kutambua mashujaa na kuenzi utamaduni wa Wamijikenda.