Skip to main content
Skip to main content

shirika la E-Water la zindua mradi wa maji Saghalla yatakayo tumiwa na wakazi Taita Taveta

  • | Citizen TV
    644 views
    Duration: 3:36
    Ni afueni kwa wakazi zaidi ya elfu tano huko Saghalla kaunti ya Taita Taveta baada ya serikali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na shirika la e-Water kuanzisha mradi wa maji. Mradi huo wasambaza maji ya kisima kutoka eneo la Kanyanga hadi Kajire zaidi ya kilomita 10 huku wakazi wakitumia vifaa maalum vya kielektroniki kupata maji hayo.