16 Oct 2026 10:32 am | Citizen TV 1,105 views Duration: 1:38 Wenyeji wa eneo la Elang'ata mashuuru kaunti ya Kajiado wamepata afueni ya kukata kiu baada ya mashirika ya kijamii kuwachimbia kisima cha maji.