Skip to main content
Skip to main content

Shirika la reli la Kenya laongeza huduma za treni za abiria msimu huu wa sikukuu

  • | KBC Video
    225 views
    Duration: 2:23
    Shirika la Reli nchini limetangaza huduma za ziada za treni kwenye Reli ya Standard Gauge ili kupunguza shinikizo kutokana na msongamano wa usafiri wakati huu wa msimu wa sikukuu. Safari zaidi zimepangwa kwenye njia muhimu wakati ambapo maelfu ya wasafiri wanaelekea mashambani kwa ajili ya likizo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive