- 17,296 viewsDuration: 2:21Wawakilishi wa vyama vya wamiliki wa matatu, magari ya uchukuzi wa watalii na bodaboda wametangaza mgomo kuwanzi jumatatu kutokana na ongezeko la juu la bei ya mafuta ya petroli. kadhalika , vyama hivyo vimetangaza kuongeza nauli kwa asilimia 50 mara moja.