13 Oct 2026 1:23 pm | Citizen TV 423 views Duration: 1:36 Kabla ya siku ya kunawa mikono duniani, eneo la Kibera limeshuhudia kupungua kwa visa vya kuhara, ambapo rekodi za afya zinaonyesha visa 527 kuanzia januari hadi juni na visa vingine 123 pekee hadi mwisho wa septemba.