Shirika moja la kibinafsi kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia limeanzisha makao ya kwanza ya waathiriwa wa ukatili wa kijinsia katika kaunti hiyo, yenye uwezo wa kuwahifadhi waathiriwa zaidi ya 50.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya