Skip to main content
Skip to main content

Shofco yafungua vituo viwili vya uwezeshaji jamii katika kaunti za Kisumu na Siaya

  • | NTV Video
    72 views
    Duration: 1:08
    Vituo viwili vya uwezeshaji jamii vimefunguliwa katika kaunti za Kisumu na Siaya. Vituo hivi vinalenga kutoa mafunzo ya elimu, ufundi stadi na huduma za kukabiliana na dhuluma za kijinsia kwa wakazi walioko pembezoni mwa Kenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya