Skip to main content
Skip to main content

Shughuli zakwama Busia mashabiki wa Arsenal wakisherehekea ushindi wa EPL

  • | Citizen TV
    3,261 views
    Duration: 1:46
    Shughuli za uchukuzi na biashara katika barabara kuu ya Busia kuelekea nchini Uganda zilikatizwa kwa zaidi ya saa mbili baada ya mashabiki wa Arsenal F.C. kujitokeza kwa wingi kusherehekea ushindi wa English Premier League Jumapili jioni.