Skip to main content
Skip to main content

Shule ya msingi ya Lafithi eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi yakumbwa na muindoo msingi duni

  • | Citizen TV
    3,150 views
    Duration: 4:23
    Shule ya msingi ya Lafithi eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi yakumbwa na changamoto ya muindo msingi kwa miaka mingi. Wanafunzi kulazimika kusoma chini ya mti na madarasa duni yachangia idadi ndogo ya wanafunzi huku wengine wakikosa masomo. Hata hivyo, hali hii yabadilika baada ya shule hiyo kupokea msaada wa ujenzi wa madarasa matatu.