- 898 viewsDuration: 2:43Shughuli za Masomo katika shule ya Msingi ya Loromoru kaunti ya Baringo zimekosa kuanza kwa muhula wa kwanza, baada ya shule hiyo kubomolewa na maafisa wa idara ya misitu nchini. Idara ya misitu ikisema kuwa baadhi ya madarasa ya shule hiyo yamejengwa kwenye ardhi ya msitu wa Mukutani