- 332 viewsDuration: 3:43Idadi kubwa ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Ngong township kaunti ya kajiado wakikabiliwa na changamoto za kupata mahitaji ya msingi ikiwemo chakula, mavazi na vifaa vya shule. Hali hii imesukuma uongozi wa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 2,000 kuanzisha mpango wa kuwasaidia wanafunzi kutoka familia za mapato ya chini