Shule ya upili ya wavulana ya Kakamega iliishinda St. Mary's Yala mabao 3 kwa 2 katika fainali na kutawazwa mabingwa wa kitaifa wa michezo ya shule za upili ya muhula wa pili iliyoisha mjini Thika, kaunti ya Kiambu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya