- 295 viewsDuration: 2:16Huku usajili wa wanafunzi wa gredi ya kumi ukiingia siku yao ya tatu, shule kadhaa za upili za za daraja la C4 katika Kaunti ya Machakos bado hazijaandikisha mwanafunzi hata mmoja, jambo linaloibua wasiwasi kuhusu usawa katika utekelezaji wa Mtaala Unaozingatia ufasaha.