Skip to main content
Skip to main content

Shule za sekondari zakamilisha matayarisho ya kupokea wanafunzi wa Gredi ya 10 chini ya CBE

  • | Citizen TV
    1,216 views
    Duration: 3:24
    Shule za sekondari ya juu nchini zimeendelea na matayarisho kabla ya kuwapokea wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 ya mtaala wa cbe kuanzia jumatatu. Baadhi ya shule zimekuwa kwenye matayarisho ya dakika za mwisho kukamilisha ujenzi wa madarasa. Hata hivyo, licha ya mkanganyiko wa nafasi za baadhi ya wanafunzi, walimu wana matumaini kuwa kila kitu kitakuwa tayari kwa wanafunzi