Skip to main content
Skip to main content

Siasa na urithi wa mali vimetajwa kama vichocheo vya uhasama

  • | Citizen TV
    649 views
    Duration: 1:43
    Siasa na migogoro ya urithi wa mali vimetajwa miongoni mwa mambo yanayoweza kuchochea uhasama nchini. Vijana wa Bungoma wamehimizwa kuepuka siasa za vurugu wakati wa warsha ya uhamasishaji iliyofanyika katika Kituo cha Shalom.