- 14,319 viewsDuration: 4:01Viongozi wa Kisiasa kutoka kaunti ya Kajiado wakiongozwa na Gavana Joseph Ole Lenku wamemonya Rais Willima Ruto kuwa Iwapo hatadhibiti siasa za mgawanyiko ambazo wanadai zinaendelezwa na Afisa mmoja mkuu wa Ikulu, huenda chama cha UDA kitaendelea kupoteza wafuasi Pamoja na viongozi wanaotaka kutumia chama hicho kuwania viti mbali mbali kwenye uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza kwenye hafla ya Shukurani katika eneo la Imbirikani huko Kajiado Kusini, Viongozi hao wanasema hatua hiyo imesabisha wafuasi na viongozi wengi wanahamia chama cha DCP baada ya vitisho ndani ya chama Tawala cha UDA kuzidi