Skip to main content
Skip to main content

Marekani itawezaje kuzuia meli za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz?

  • | BBC Swahili
    27,073 views
    Duration: 1:58
    Marekani imeanza kuzuia usafiri wa majini wa kuingia na kutoka katika bandari za Iran. Vikosi vya Marekani vinasema vitazuia au kurudisha nyuma meli zinazosafiri kwenda au kutoka pwani ya Iran. Je itazuaje? @beldeen_waliaula anaelezea kwa kina #bbcswahili #hormuz #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw