Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Trump amefuta chapisho linalomuonesha kama Yesu?

  • | BBC Swahili
    16,906 views
    Duration: 1:25
    Kwa nini Trump amefuta chapisho linalomuonesha kama mtu anayefanana na Yesu? Chapisho hilo lilikuwa ni Picha iliyotengenezwa kwa AI ikionesha Trump akimponya mgonjwa kitandani. Picha hiyo ilikuja saa chache baada ya rais kuchapisha ujumbe mrefu unaomkosoa Papa Leo XIV. Trump anasema alifikiri picha hiyo ilikuwa ikimwonyesha kama daktari. @_phillys anaelezea zaidi #bbcswahili #marekani #AI Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw