- 14,685 viewsDuration: 2:53Siasa za Umoja wa Jamii ya Mulembe zilishamiri Katika mazishi ya Gloria Sekeiyan, mkewe Seneta wa kakamega Bonny Khalwale huko Malinya Kaunti ya Kakamega. Viongozi wengi waliohudhuria mazishi walimpigia debe seneta wa Nairobi Edwin Sifuna Kuungwa mkono na viongozi wote kutoka magharibi mwa nchi huku wakiwapinga viongozi wa eneo hilo walioko kwenye serikali ya muugnano. Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna naye amesistiza kwamba Mrengo wa Linda Mwananchi utatangaza chama chao hivi Karibuni.