Skip to main content
Skip to main content

Siha na maumbile | Jinsi ya kudumisha afya njema ya macho

  • | Citizen TV
    992 views
    Duration: 4:56
    Afya ya macho ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku na inahitaji uangalizi maalum ili kuzuia matatizo na magonjwa mbalimbali. Katika siha na maumbile wiki hii Mercy Wambui Chege mtaalamu wa macho katika kituo cha Equity Afya Ruiru anatueleza kuhusu matatizo mbalimbali ya afya yanayoweza kuathiri macho na jinsi gani tunaweza kudumisha afya njema ya macho yetu.